Translate

Friday, April 2, 2010

BAKWATA YAITENGA USWISI

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)limetangaza kususia bidhaa na huduma zote zizalishwazo na kutolewa na nchi ya Uswisi kwa kile ilichokiita njama za nchi hiyo kuukandamiza Uislamu.

BAKWATA imewataka Waislamu wote nchini na duniani kutoshirikiana na nchi ya Uswisi katika nyanja zote za kisiasa, kiuchumi kibiashara na masuala yote ya jamii.

Habari kamili soma Tanzania Daima, toleo na 1947 Jumamosi April 3,2010, www.freemedia.co.tz

0 comments:

 
Powered by Blogger