Translate

Monday, July 5, 2010

MADAI YA WAISLAMU KUHUSU MAHAKAMA YA KADHI: WAISLAMU MNA AJENDA YA SIRI NA TANZANIA!!!

WAISLAMU TANZANIA WAMEKUWA WAKIDAI WAREJESHEWE MAHAKAMA YA KADHI, LAKINI HAWAWAAMBII WATANZANAI WAREJESHEWE HIYO MAHAKAMA YA KADHI NA NANI? KWA SABABU SERIKALI HAIHUSIKI NA SUALA HILO. SI HIVYO TU SHERIA ZA NDOA NA MIRATHI KWA MISINGI YA KIISLAMU ZINAFANYWA KATIKA MAHAKAMA ZA MWANZO NA MAHAKIMU WALIOANDALIWA VYUONI KLE CHUO CHA MAHAKAMA LUSHOTO. INA MAANA WAISLAMU WANATAKA MAHAKIMU WALIOPO WAAACHISHWE KAZI ZA UHAKIMU NA NAFASI ZA UHAKIMU WAPEWE WAO!!! HUU NI UHUNI .KWANI MLIPOMCHAGA MUFTI MLIIOMBA SERIKALI IWASAIDIE? MBONA MLIMCHAGUA WENYEWE? HAPA NDIPO MNAPOKOSA HOJA MNAPOITAKA SERIKALI ISIYO NA DINI IWATEULIE KADHI . KWANI LEO HAMUOANI? HAMUACHANI? HAMRITHISHANI? HAMNA WAKFU KWA MISINGI YA DINI YENU? NA KAMA SIVYO TAMKENI KWAMBA HAYO YOTE MLIYOYAFANYA KABLA YA KUWA NA KADHI NI BATLI ILI TUWAELEWE. NA KAMA NI HALALI KWA NINI MTAKE TENA HAKIMU MWINGINE TENA ALIPWE NA SERIKALI ISIYO NA DINI? HUU NI UFISADI WA KIDINI. TUOMBENI MICHANGO TU YA KUITISHA KIKA CHA KUMCHAGUA KADHI TUTAWACHANGIA KULIKO HIVI MNAVYOTAKA KUTULETEA MAMBO YA AIBU TANZANIA . HAMJAONA KILICHOTOKEA KENYA? HAMJIFUNZI?

1 comments:

Anonymous said...

Wewe mchungaji, kwa nini siku zote nyinyi wakristo mnapenda sana kupendelewa tu. serikali hii ni ya mfumo kristo ndiyo maana hamtaki sisi waislamu tupate mambo yetu ya ibada na mwaka huu hatudanganywi tena nyinyi andikeni semeni na tangazeni lakini hatudanganyiki. na ole wenu tupate mahakama hiyo tutaondoa dhulma zote

 
Powered by Blogger