Translate

Saturday, September 4, 2010

HOJA ZA KISIASA DHIDI YA DINI BINAFSI YA MTU

KATIKA KITABU KIITWACHO "JIHADI IN ISLAM" , KILICHOANDIKWA NA MWANAZUONI MKUBWA ANAYEHESHIMIWA NA WAISLAMU WOTE ULIMWENGUNI, KATIKA KUFUNDISHA MISIMAMO MIKALI YA KIDINI HUSUSANI YA KIISLAMU, AITWAYE AL MAWDUD UK. 5 ANASEMA NINAMNUKUU

"UISLAMU NI ITIKADI YA KIMAPINDUZI NA MPANGO AMBAO UNATAKA KUGEUZA TARATIBU ZOTE ZA KIJAMII NA UNATAKA KUONDOSHA TAWALA NA SERIKALI ZOTE ZILIZOKO JUU YA USO WA DUNIA AMBAZO ZIKO KINYUME NA ITIKADI NA TARATIBU ZA UISAMU" MWISHO WA KUNUKUU.

MADAI YA KUWA DK.SLAA KATUMWA NA KANISA KATOLIKI HUKU KANISA LENYEWE LIKIKANUSHA MADAI HAYO NI SAWA? JE KIKWETE NAYE AMETUMWA NA BAKWATA KUGOMBEA URAIS? MBONA MPAKA LEO HAJATUAMBIA WATANZANIA KUHUSU MPANGO WAKE WA KUILETA OIC TANZANIA HAMLISEMI?

AU ANASUBIRI BAADA YA KUPEWA KURA? WAISLAMU IWENI WAUNGWANA HASA MAGAZETI YA AN NUUR NA AL- HUDA YA KIISLAMU SOMENI ALAMA ZA NYAKATI- 0755 680101

1 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Tafsiri ya Uislamu inaonekana kutofautiana hasa kulingana na anayeisema. Sina hakika na hii uliyomnukuu huyu mtu maana kama ulivyosema kuwa ni "MWANAZUONI MKUBWA ANAYEHESHIMIWA NA WAISLAMU WOTE ULIMWENGUNI, KATIKA KUFUNDISHA MISIMAMO MIKALI YA KIDINI HUSUSANI YA KIISLAMU". Hili laweza kumfanya awe "analalia" upande wa msimamo mkali ambao si mara zote unaeleza Uislamu itakiwavyo.
Mimi pamoja na kuwa mKristo, nimekulia katika mazingira ya uIslamu na nililogundua ni kuwa wale wajiitao "na msimamo mkali" hushupaza zaidi maneno na kuyapindisha. Pia huwa wabishi hata kwa waislamu wenzao. Ninaloweza kukuhakikishia ni kuwa ukikutana na mwanazuoni wa kiIslamu asiye na msimamo mkali na kuzungumza naye, utaona tofauti kuuubwa kati ya watu hawa.
Labda kuna haja ya ku-balance maoni ya waIslamu juu ya hili kabla hatujawahukumu wote kwa sababu ya "akili za mmoja mwenye msimamo mkali"
Baraka kwako

 
Powered by Blogger