Translate

Wednesday, May 16, 2012

MUSLIMS DEMAND: RELIGIOUS NATIONAL CENSUS IN THE SECULAR STATE OF TANZANIA

In recent days Muslims have been yearning to see Tanzania is conducting a national religious census.Tanzania is a secular state. We hardly know why such claim.
 But the information from the net www.wikipedia.org states clearly that "Current statistics on religion in Tanzania are unavailable because religious survey was eliminated from Government census report after 1967."
But 45 yrs later Fundamental Muslims still emerging their claim.
Tanzania holds a national census exercise in August, 2012

1 comments:

Anonymous said...

Nimepata mshangao mkubwa kuona unavyopotosha watu kwenye hii blog yako. Waislamu wametaka sensa iweke kipengele cha dini, wewe unadai wanataka “religious national census”. Kuweka kipengele cha utambulisho wa dini imekuwa sense yote ya dini? Huu kama si upotoshaji ni nini? Sema ukweli, haifai kusambaza uongo, utakwenda mbele ya Mungu wako na utachomwa!
Kuwa na kipengele cha dini katika sensa si jambo kubwa wala halifanyi sensa yote iwe ya kidini. Nchi nyingi zilizoendelea duniani kama vile Uingereza nk. zimeweka kipengele kama hicho katika sensa za kitaifa wanazofanya. Kwa mfano angalia matokeo ya sensa ya mwaka 2011 yaliyochapishwa na Ofisi yao ya Tawimu za Serikali (England and Wales) katika weblinks hizi mbili:
http://www.ons.gov.uk/ons/rel/census/2011-census/key-statistics-for-local-authorities-in-england-and-wales/sty-religion.html
http://www.ons.gov.uk/ons/search/index.html?pageSize=50&sortBy=none&sortDirection=none&newquery=census%2C+religion
Haisemwi Uingereza wamefanya sensa ya dini.
Sio Uingereza tu, Ireland wanafanya hivyo hivyo, angalia weblink hii uone:
http://spiritualityireland.org/blog/index.php/2011/03/census-and-religion/
Mataifa mengine yanayofanya sensa zenye kipengele cha dini ni pamoja na India angalia weblink hii: http://www.censusindia.gov.in/Census_And_You/religion.aspx
Australia, angalia: http://www.abs.gov.au/websitedbs/D3110124.NSF/0/86429d11c45d4e73ca256a400006af80
Uliona utakuwa uongo haukolei kama utaandika kwa mfano, “Muslims demand national census question on religion in a secular state”.
Naomba Mungu akusaidiye na akuongoze uandike ukweli mtupu. Amen.
Asante sana.

 
Powered by Blogger